State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi katika Sala ya Kuusalia Mwili wa Marehemu Yahya Abdulwakil.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimfariji na kumpa pole Mbunge wa Jimbo la Kwahani Zanzibar Mhe. Ahmad Yahya Abdulwakil kwa kufiwa na Baba yake mzazi Marehemu Yahya Abdulwakil, wakati akiwasili katika Masjid Ameirtajo Mpendae Wilaya ya Mjini Unguja, kuhudhuria maziko na Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid hiyo.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia hutuba ya Ibada ya Sala ya Ijumaa ikisomwa na Khatibu Sheikh. Khalid Ali Mfaume, kabla ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Ameirtajo Mpendae Wilaya ya Mjini Unguja.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Ibada ya Sala ya jeneza kuusalia mwili wa marehemu Yahya Abdulwakil, Baba Mzazi wa Mbunge wa Jimbo la Kwahani Zanzibar (kushoto kwa Rais) Mhe. Ahmada Yahya Abdulwakil, Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu. Alhaj Balozi Seif Ali Iddi na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Mahmoud Mussa Wadi na (kulia kwa Rais)Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Mhe.Zuberi Ali Maulid.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Saba Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, baada ya kumaliza kwa Sala ya kuusalia mwili wa Marehemu Yahya Abdulwakil Baba mzazi wa Mbunge wa Jimbo la Kwahani Zanzibar Mhe. Ahmada Yahya Abdulwakil, iliofanyika katika Masjid Ameirtajo Mpendae Wilaya ya Mjini Unguja.

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Oman Nchini Tanzania.

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Ali Al Mahrooq aliyefika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Ali Al Mahrooq (katikati) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini akiwa na Balozi Mdogo wa Oman hapa Zanzibar Mhe. Said Salim Al Sinawi (kushoto).
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Ali Al Mahrooq (katikati) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akibadilishana mawazo na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Ali Al Mahrooq baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuaga akiwa amemaliza muda wake wa Kazi Nchini.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe. Ali Al Mahrooq (kushoto) aliyefika Ikulu Jijini Zanzibar,kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini akiwa na Balozi Mdogo wa Oman hapa Zanzibar Mhe. Said Salim Al Sinawi (kulia).
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Ali Al Mahrooq aliyefika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini.

Rais Dk.Mwinyi asisitiza kuendelea kuchukua tahadhari ya Ugonjwa wa Corona

 • Rais Dk.Mwinyi asisitiza kuendelea kuchukua tahadhari ya Ugonjwa wa Corona,akisisitiza kuwa mbali na Ugonjwa huo kuathiri afya za binaadamu lakini pia unadhoofisha uchumi wa nchi.
 • Rais Dk.Mwinyi asisitiza kuendelea kuchukua tahadhari ya Ugonjwa wa Corona,akisisitiza kuwa mbali na Ugonjwa huo kuathiri afya za binaadamu lakini pia unadhoofisha uchumi wa nchi.
 • Rais Dk.Mwinyi asisitiza kuendelea kuchukua tahadhari ya Ugonjwa wa Corona,akisisitiza kuwa mbali na Ugonjwa huo kuathiri afya za binaadamu lakini pia unadhoofisha uchumi wa nchi.
 • Rais Dk.Mwinyi asisitiza kuendelea kuchukua tahadhari ya Ugonjwa wa Corona,akisisitiza kuwa mbali na Ugonjwa huo kuathiri afya za binaadamu lakini pia unadhoofisha uchumi wa nchi.

Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Waziri wa Sheria na Katiba Prof. Palamagamba Kabudi Ikulu Zanzibar

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Katiba na Sheria Tanzania Mhe.rof. Palamagamba Kabudi, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo akiwa na Ujumbe wake,mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akiwa (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akiwa (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Sheria na Katiba Tanzania Mhe Prof. Palamagamba Kabudi (kulia kwa Rais)na(kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katika Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kuzungumza na Makamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Ikulu Zanzibar leo.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Mhe.Anne Makinda, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa makabrasha ya Sensa na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Mhe.Anne Makinda baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Balozi Mohamed Hamza na (kulia kwa Rais) Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Mhe.Anne Makinda walipofika Ikulu Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo yaliofanyika leo 12/8/2021, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Mhe.Anne Makinda, baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo.