State House Blog

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Said Seif Mzee kuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Zanzibar katika Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Said Seif Mzee kuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Zanzibar katika Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango,hafla hiyo iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Viongozi aliowateuwa hivi karibuni.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Rahma Salim Mahfoudh kuwa Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Said Seif Mzee kuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Zanzibar katika Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango,hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Viongozi wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar waliohudhuria katika hafla kuapishwa Viongozi walioteuliwa na Rais kushika nafasi mbali mbali hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib Haji na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,wamehudhuria katika hafla kuapishwa Viongozi walioteuliwa na Rais kushika nafasi mbali mbali katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Said Seif Mzee kuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Zanzibar katika Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango,hafla hiyo iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mheshimiwa Jaji Aziza Iddi Sued,kuwa Mwenyekiti wa Mahkama ya Rufaa ya Idara maalum ya SMZ, hafla hiyo iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika katika Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Kitabu kinachuzungumzia Mabadiliko ya Tabia Nchi, wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Jamal Kassim Ali na (kulia kwa Rais) Naibu Kamishna wa Bima Tanzania (TIRA)Bi. Khadija.Said.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua tovuti ya “Africa College of Insurance and Social Protection” (ACISP).www.acisp.africa,www.acisp.net, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika “Africa Insurance Retreat” uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha Kitabu kinachuzungumzia Mabadiliko ya Tabia Nchi, baada ya kukizindua wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Jamal Kassim Ali na (kulia kwa Rais) Naibu Kamishna wa Bima Tanzania (TIRA)Bi. Khadija.Said.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika, uliofanyika Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar.

  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Waziri Nape Mnauye Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wizara ya Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Tanzania ukiongozwa na Waziri wa wizara hiyo Mhe.Nape Moses Mnauye.(kulia kwa Rais)na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Mhandisi Zena Ahmed Said.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Tanzania Mhe. Nape Moses Nnauye, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha na Ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Tanzania ukiongozwa na Waziri wa wizara hiyo Mhe.Nape Moses Mnauye, (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Tanzania Mhe.Nape Moses Nnauye, baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameongoza maziko ya marehemu Said Bakari Jecha aliyewahi kuwa Waziri wa SMZ yaliofanyika Fumba.

  • SHEIKH Said Ali Talib akisoma dua baada ya kumalizika kwa maziko ya Marehemu Said Bakari Jecha yaliyofanyika Kijijini kwao Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Said Bakari Jecha aliyewahi kuwa Waziri wa SMZ, maziko hayo yamefanyika Kijijini kwao Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • RAIS Mstaaf wa Zanzibar Alhaj Dkt.Amani Karume akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Said Bakari Jecha aliyewahi kuwa Waziri wa SMZ, maziko hayo yamefanyika Kijijini kwao Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh. Mahadhi Mahadhi Abdalla, baada ya kumalizika kwa Sala ya kuusalia mwili wa Marehemu Said Bakari Jecha aliyewahi kuwa Waziri wa SMZ, maziko hayo yaliyofanyika Kijijini kwao Fumba na (kulia kwa Rais) Sheikh.Khamis Mussa na Mume wa Rais wa Tanzania Mhe Khafidh Ameir.