State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akabidhi Boti nane na Mashine za Boti 16 kwa wavuvi wa Pemba

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimkabidhi msaada wa Futari mmoja wa Wananchi wa Makundi Maalumu (Wazee,Watu Wenye ulemavu na Yatima) Bi.Time Hamad Ali, iliyotolewa na Taasisi ya Miraji Tanzania, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya mpira Micheweni Pemba
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimkabidhi futari mmoja wa Wananchi wenye mahitaji maalumu Hamad Hussein Hamad, hafla hiyo iliyofanyika katika Kituo cha Watoto Yatima Micheweni Pemba.
  • WANANCHI wa Kijiji cha Shumba Mjini wakishangilia na kupeperusha bendera za ZAFICO wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi Boti Nne na Mashine za Boti 16 kwa Wavuvi wa Kisiwa cha Pemba hafla iliyofanyika katika viwanja vya bandari ya Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni Pemba.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Wakurugenzi Watendaji wa Makampuni Binafsi Tanzania wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 22-1-2021(kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Bw. Dino Stengel na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Stanbic Bank Tanzania Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kitabu cha Historia ya Standard Bank Group ambayo ni kampuni mama ya Stanbic Bank Tanzania, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Stanbic Tanzania Bw. Kevin Wingfield (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Stanbic Tanzania Bw. Kevin Wingfield (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi mgeni rasmin mashindano ya Kimataifa ya kuhifadhi Quran Zanzibar yaliofanyika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja.

  • AMIRI wa Jumuiya ya Kuhifadhisha Quran Zanzibar Sheikh.Suleiman Omar Ahmed akizungumza na kutowa maelezo ya Jumuiya hiyo wakati wa Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran Zanzibar yaliofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran Zanzibar yaliofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar.
  • MUFIT Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akizungumza na kutowa nasaha zake kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Waumini, wakati wa Mashindano ya Kimataifa wa Kuhifadhi Quran Zanzibar yaliofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mshindi wa Kwanza wa Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran Zanzibar Juzuu 30 Tashjee. Nassir Rashid Seif na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Jumuiya ya Kuhifadhisha Quran Zanzibar, alipowasili katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar kuhudhuria Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran Zanzibar yaliofanyika katika Masjid hiyo leo 10-4-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Amiri wa Jumuiya ya Kuhifadhisha Quran Zanzibar Sheikh Suleiman Omar Ahmed (kushoto kwa Rais) wakati wa hafla ya Mashindano ya Kimataifa ya Kuhufadhi Quran Zanzibar, yaliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran yaliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini na (kushoto kwa Rais) Amiri wa Jumuiya ya Kuhifadhisha Quran Zanzibar Sheikh.Suleiman Omar Ahmed na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran Zanzibar yaliofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran Zanzibar yaliofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar.
  • MSHINDI wa Kwanza wa Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran Zanzibar Juzuu 30 Hifadhi kutoka Nchini Chad Hissein Youssouf Adam, akisoma Qurani wakati wa mashindano hayo yaliofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2022

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Masjid Kheir Markaz Mombasa Unguja katika Sala ya Ijumaa.

  • WAUMINI wa Masjid Kheir Markaz Mombasa Unguja Jijini Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini na Wananchi wa Masjid Kheir Markaz Mombasa Unguja Jijini Zanzibar baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo jana 8-4-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid Kheir Markaz Mombasa Unguja Jijini Zanzibar baada ya kuwasili katika viwanja vya Masjid hiyo kuhudhuria ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika jana 8-4-2022 Masjid hiyo.

Uzinduzi wa nembo ya tarehe ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 Zanzibar

  • RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akielekea katika ukumbi wa mkutano wa Hoteli ya Golden Tulip, Uwanja wa Ndege kwa ajili ya Uzinduzi wa Nembo ya Tarehe ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, (kulia kwa Rais) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,.Philip Isdor Mpango.
  • VIONGOZI wa jukwaa kuu wakifuatilia hafla ya Uzinduzi wa Nembo ya Tarehe ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, iliozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) uzinduzi huo umefanyika leo 8-4-2022 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tuliup Uwanja wa Ndege Unguja Jijini Zanzibar.
  • WANANCHI wa Jijini la Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akihutubia katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip wakati wa hafla ya uzinduzi wa Nembo ya Tarehe ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, iliozinduliwa katika ukumbi wa hoteli hiyo.
  • BAADHI ya Mawaziri wa SMZ na SMT wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Nembo ya Tarehe ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Unguja Jijini Zanzibar leo 8-4-2022.
  • VIONGOZI wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) akihutubia na kuzindua Nembo ya Tarehe ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, uliofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golgen Tulip Uwanja wa Ndege Unguja Jijini Zanzibar leo 8-4-2022.
  • KAMISAA wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 Mhe Anne Makinda akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Tarehe ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, iliyozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Unguja Jijini Zanzibar leo 8-4-2022.
  • VIONGOZI wa Serikali na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) akihitubia na kuzindua Nembo ya Tarehe ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Unguja Jijini Zanzibar leo 8-4-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifutilia hutuba ya Uzinduzi wa Nembo ya Tarehe ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) akihutubia na kuzindua Nembo hiyo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Unguja Jijini Zanzibar leo 8-4-2022, na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Nembo ya Tarehe ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, iliyozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Unguja Jijini Zanzibar leo 8-4-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifutilia hutuba ya Uzinduzi wa Nembo ya Tarehe ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) akihutubia na kuzindua Nembo hiyo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Unguja Jijini Zanzibar leo 8-4-2022, na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman.