State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na wananchi wa Chaani Unguja katika sala ya Ijumaa iliyofanyika Msikiti Mweupe.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Chaani Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Mweupe Chaani leo 15-4-2022
 • WANANCHI wa Kijiji cha Chaani Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Mweupe Chaani Unguja leo 15-4-2022.
 • WANANCHI wa Kijiji cha Chaani Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akitowa nasaha zake kwa Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Mweupe Chaani leo 15-4-2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Wazee wa Baraza la Wazee wa CCM Kisiwani Pemba.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Pemba Bw. Mohammed Abass Mselem, wakati wa mkutano huo wa Wazee uliofanyika katika ukumbi wa jengo la ZSSF Tibirinzi Chakechake Pemba leo 13-4-2022.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wazee wa Baraza la Wazee wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Pemba, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa jengo la ZSSF Tibirinzi Chakechake Pemba.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wazee wa Baraza la Wazee wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Pemba, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa jengo la ZSSF Tibirinzi Chakechake Pemba.
 • KATIBU wa Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Pemba Bw.Abdalla Yussuf Ali akisoma na kuwasilisha taarifa ya Wazee wa Baraza la CCM, wakati wa mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Chake Chake Pemba 13-4-2022.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa uwanja wa Watoto Tibirinzi Chake Chake Pemba.

 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba (hawapo pichani) na (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, katika futari maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi iliyofanyika katika ukumbi wa Uwanja wa Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba leo 13-42022.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Sala ya Magharibi iliyofanyika katika uwanja wa Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba,wakati wa hafla ya Futari Maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Uwanja huo 13-4-2022.
 • WATOTO Wenye mahitaji maalum wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.(hayupo pichani) katika futari maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa Uwanja wa Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba leo 13-4-2022.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa huo katika ukumbi wa Uwanja wa Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba leo 13-4-2022.
 • WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Pemba wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi katika futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Uwanja wa Watoto Tibirinzi Chake chake Pemba leo 13-4-2022
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa huo katika ukumbi wa Uwanja wa Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba 13-4-2022

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekabidhi Msaada wa Futari kwa Wananchi wenyemahitaji maalum Kisiwani Pemba.

 • RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wakati wa hafla ya kuwakabidhi Sadaka ya Futari kwa Wananchi wenyemahitaji maalum.(Wazee,Watu Wenye Ulemavu na Yatima) iliyofanyika katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi sadaka ya Futari Bw. Khamis Zaid Khamis, wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi Sadaka kwa Wananchi wenye mahitaji maalum.(Wazee, Watu Wenyemahitaji Maalum na Yatima) iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimkabidhi sadaka ya Futari Sara Haji Ali ambae ni yatima,hafla hiyo ya kukabidhi futari kwa Wananchi wenye mahitaji maalum(Wazee,Watu Wenye Ulemavu na Yatima) iliofanyika katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba leo 13-4-2022.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Futari aliyowaandali.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Mahmoud Mussa Wadi, baada ya kumalizika kwa futari maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba iliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
 • WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) katika futari maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika futari Maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) iliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba na (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe Salama Mbarouk Khatib.
 • WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) katika futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.