State House Blog

DK.Mwinyi amemkaribisha Rais wa R0mania Ikulu Zanzibar.

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis wakati wa mazungumzo yao alipowasili Ikulu Jijini Zanzibar akiwa katika ziara ya siku nne nchini.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwakaribisha Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis (kushoto) na Mkewe Carmen Iohannis wakati wa chakula maalum alichowaandalia leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar baada ya mazungumzo yao katika ziara ya siku nne nchini
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis baada ya kumkaribisha alipowasili Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa katika ziara ya siku nne nchini.
 • Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis akitia saini kitabu cha wageni leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kabla ya mazungumzo yao na mwenyeji wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) Rais Klaus Iohannis yupo nchini kwa ziara ya siku nne nchini
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipeana mkono na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis baada ya kumkaribisha alipowasili Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa katika ziara ya siku nne nchini
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa na mgeni wake Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis baada ya kuwasili Ikulu Jijini Zanzibar leoakiwa katika ziara ya siku nne nchini
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkaribisha Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis baada ya kuwasili Ikulu Jijini Zanzibar leoakiwa katika ziara ya siku nne nchini
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkaribisha Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis baada ya kuwasili Ikulu Jijini Zanzibar leoakiwa katika ziara ya siku nne nchini
 • RAIS wa Romania Mhe.Klaus Lohannis akiwa na Mkewe na (kushoto kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhe.Jamal Kassin Ali wakiangalia ngoma ya Msewe iliyoandaliwa kwa ajili ya mapokezi yake alipowasili katika Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar kwa ziara ya Siku moja akitokea Jijini Dar es Salaam
 • RAIS wa Romania Mhe.Klaus Lohannis akiwa na Mkewe na (kushoto kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhe.Jamal Kassin Ali wakiangalia ngoma ya Msewe iliyoandaliwa kwa ajili ya mapokezi yake alipowasili katika Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar kwa ziara ya Siku moja akitokea Jijini Dar es Salaam
 • RAIS wa Romania Mhe. Klaus Lohannis akiwa na Mkewe Mama Carmen Lohannis wakikabidhiwa maua na Watoto Hiyam Muhsin na Said Issa walioandaliwa kwa ajili ya mapokezi yake alipowasili katika Bandari wa Malindi Jijini Zanzibar leo 18-11-2023 kwa ziara ya siku moja Zanzibar akitokea Jijini Dar es Salaam.
 • RAIS wa Romania Mhe.Klaus Lohannis akiwa na Mkewe Mama Carmen Lohannis baada ya kuwasili katika Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar kwa ziara ya Siku moja Zanzibar, akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhe. Jamal Kassim Ali
 • RAIS wa Romania Mhe.Klaus Lohannis akisalimia na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhe. Jamal Kassim Ali alipowasili katika bandari ya Malindi Jijini Zanzibar kwa ziara ya Siku moja Zanzibar, akitokea Jijini Dar es Salaam na (kulia kwa Waziri) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa