State House Blog

Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikagua Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama mara baada ya kupokea salamu ya Heshma ya Vikosi hivyo katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium jijini Zanzibar.
 • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi (katikati) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman (kulia) Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Acson wakisimama wakati wa kupokea Salamu ya Heshma ya Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium jijini Zanzibar.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia Mkono Wananchi wakati alipoingia katika Uwanja wa Amaan Studium jijini Zanzibar leo katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya Heshma ya Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium jijini Zanzibar.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia Mkono Wananchi wakati alipoingia katika Uwanja wa Amaan Studium katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
 • Kikosi cha Bendera cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa haraka katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
 • Kikosi cha Jeshi la Polisi Wanawake wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa pole pole katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
 • Kikosi cha Jeshi la Kujenga Uchumi JKU wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa haraka katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
 • Kikosi cha Jeshi la KIKOSI CHA KUZUIYA MAGENDO KMKM wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa haraka katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
 • Kikosi cha Jeshi la Polisi Wanawake wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa haraka katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
 • Kikosi cha Jeshi la Mafunzo wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa pole pole katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
 • Kikosi cha Jeshi la Polisi FFU wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa pole pole katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.