State House Blog

KUKABIDHI VYETI VYA URAIA WA TANZANIA KWA TAJNISI

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akimkabidhi cheti Bi.Halima Idarous Adnan mwenye Asili ya Comoro,mkaazi wa Vikokotoni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akimkabidhi cheti Ndg.Karan Mohamed Ali, mwenye Asili ya Comoro ,Mkaazi wa Kisimamajongoo Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akimkabidhi cheti Bw.Mohamed Mzee Mbaba mwenye Asili ya Comoro ,Mkaazi wa Mkunazini Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.

 • Baadhi ya Wananchi wenye Asili kutoka Nchini Msumbiji,Comoro,Burundi na Ruanda wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,alipokuwa akitoa hutuba yake leo kwa wananchi na waalikwa mbali mbali katika hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
 • Baadhi ya Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitao hutuba yake

 • Maafisa wa Jeshi la Uhamiaji Tanzania wakiwa katika hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)