State House Blog

Makabidhiano ya Ofisi ya Rais -Ikulu Zanzibar.

  • ALIYEKU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Ikulu Zanzibar Ndg. Mussa Haji Ali akizungumza na Wakuu wa Taasisi za Ofisi ya Rais - Ikulu wakati wa hafla ya kukabidhi Ofisi kwa Katibu Mkuu Mpya wa Ofisi ya Rais - Ikulu Zanzibar Ndg. Masoud Hussein Iddi (kulia kwake) makabidhiano hayo yaliyofanyika leo 9-8-2022. Katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Rais –Ikulu Zanzibar.
  • ALIYEKUWA Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – Ikulu Zanzibar Ndg. Mussa Haji Ali akimkabidhi vitendea Kazi Katibu Mkuu Mpya wa Ofisi ya Rais –Ikulu Zanzibar Ndg.Masoud Hussein Iddi (kulia) wakati wa hafla ya makabidhiano ya Ofisi hiyo yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Rais - Ikulu leo 9-8-2022.
  • KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais-Ikulu Zanzibar Ndg.Masoud Hussein Iddi akizungumza na Wakuu wa Idara za Ofisi ya Rais Ikulu, wakati wa hafla ya kukabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Katika Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Ndg. Mussa Haji Ali.(hayupo pichani) makabidhiano hayo yaliyofanyika leo 9-8-2022. Katika ukumbi wa mikutano Ofisi ya Rais - Ikulu Zanzibar.