State House Blog

Mapokezi ya Ndege Mpya za Shirika la Ndege Tanzania ATC.

  • Ndege 2 za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) zikimwagiwa maji kama ishara ya kupata baraka zilipowasili leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifuatana wasaidizi wake baada ya kumalizika kwa hafla ya sherehe ya mapokezi ya Ndege 2 Mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati wa mapokezi rasmi zilipowasili leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • Wahudumu wa Ndege 2 Mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakiwa wameshikilia wauwa wakati wa mapokezi rasmi zilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Wahudumu wa Ndege Mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati wa mapokezi rasmi zilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Marubani wa Ndege Mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati wa mapokezi rasmi zilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Wahudumu wa Ndege Mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati wa mapokezi rasmi zilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akishuhudia Katibu Mkuu Kiongozi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Hussein Othman Katanga (kulia) na Katibu Mkuu Uchukuzi Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na mawasiliano Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw.Gabriel Migire wakikabidhiana hati wakati mapokezi ya Ndege 2 mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati zilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa mgeni rasmin na Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ya sherehe ya mapokezi ya Ndege 2 mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani karume Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa (kushoto) pamoja na Waziri wa ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof.Maka me Mnyaa Mbarawa wakiangalia Ndege 2 mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati zilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya mapokezi ya Ndege 2 mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibarzilizowasili leo,ambapo Viongozi mbali mbali wa Serikali wamehudhuria akiwepo na Waziri Mkuu wa wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa.