State House Blog

Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana kwa Mazungumzo na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake Balozi wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Ahamada El Badoi Mohamed Fakih wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Hus sein Ali Mwinyi (kulia) akisisitiza jambo wakati akizungumza na Mgeni wake Balozi wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Nchini Tanzania Mhe. Dkt.Ahamada El Badoi Mohamed Fakih alipofika Ikulu jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akibadilishana mawazo na Mgeni wake Balozi wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Nchini Tanzania Mhe. Dkt.Ahamada El Badoi Mohamed Fakih baada ya mazungumzo yao aliyofanyika Ikulu jijini Zanzibar.