State House Blog

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI SALA YA IJUMAA MASJID ARAFU NA KUTOWA MKONO WA POLE KWA RAIS MSTAAF DK. SHEIN

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwanasiasa Mkongwe Zanzibar Bi Tereza Olbam Ali, alipofika nyumbani kwake miembeni kumtembelea na kumjulia hali yake
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Saba.Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, alipofika nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati Unguja kumpa mkono wa pole kwa kufiwa na kaka yake.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh Salum Maridhia (hayupo pichani) akisoma dua baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B”Unguja,baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid hiyo leo 19-11-2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid hiyo leo 19-11-2021

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja alipowasili kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika leo 19-11-2021
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja