State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa Mkono wa Eid El Fitry kwa Wananchi waliofika Ikulu jijini Zanzibar.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na baadhi ya Masheikh waliofika Ikulu Jijini Zanzibar kumsalimia,baada ya kutoka katika Sala ya Eid El Fitry, iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi waliofika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimia na kupokea mkono wa Eid El fitry
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, baada ya kumaliza kuzungumza na baadhi ya Masheikh wa Zanzibar waliofika Ikulu Jijini Zanzibar kumsalimia na (kulia) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman
 • WAZEE wa Kijiji cha Wazee Welezo Jijini Zanzibar wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.(hayupo pichani) alipofika kuwatembelea na kutowa mkono wa Eid El Fitry katika makazi yao Welezo.
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsalimia na kumpa mkono wa Eid El Fitry mmoja wa Wazee wa Kijiji cha Wazee Welezo Jijini Zanzibar, alipofika kuwatembelea katika makazi yao Welezo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam MWinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni Jijini Zanzibar, baada ya kuwasalimia na kutowa mkoni wa Eid El Fitry kwa Wazee hao alipofika katika makazi yao
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akitowa mkono wa Eid El Fitry kwa Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni Jijini Zanzibar, alipofika kuwasalimia katika makazi yao.
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akitowa mkono wa Eid El Fitry kwa Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni Jijini Zanzibar, alipofika kuwasalimia katika makazi yao.
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akitowa mkono wa Eid El Fitry kwa Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni Jijini Zanzibar, alipofika kuwasalimia katika makazi yao.
 • WAZEE wa Nyumba za Wazee Sebleni wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.(hayupo pichani) akiwasalimia wakati alipofika kuwatembelea na kutowa Mkono wa Eid El Fitry, katika makaazi yao Sebleni Jijini Zanzibar.
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia na kuzungumza na Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni Jijini Zanzibar alipofika kuwatembelea na kutowa mkono wa Eid El Fitry.