State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Masjid Nuurul Yaqiin katika kijiji kipya cha Dundua Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja

  • WANANCHI wa Kijiji Dundua Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin uliopo katika Kijiji kipya cha Dunduo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin ulioko katika Kijiji kipya cha Dundua Wilaya ya Kaskazini B Unguja
  • WANANCHI wa Kijiji Dundua Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin uliopo katika Kijiji kipya cha Dunduo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin ulioko katika Kijiji kipya cha Dundua Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
  • MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin ulioko katika Kikjiji kipya cha Dundua Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
  • WAZIRI wa Maji na Nishati Zanzibar Mhe.Suleiman Masoud Makame akitowa maelezo ya kitaalumu ya Ujenzi wa Nyumba za Kijiji Kipya cha Dundua Wilaya ya Kaskazini B Unguja wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid Nuurul Yaqiin ulioko katika Kijiji hicho Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • WANANCHI wa Kijiji Dundua Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin uliopo katika Kijiji kipya cha Dunduo.
  • WAZEE wa Kijiji cha Dundua Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid NuurulYaqiin Dundua ulioka katika eneo la Kijiji Kipya cha Dundua