State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Mskiti wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi na kujumuika katika Sala ya Ijumaa

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwakumbia mkono wananchi waliofika katika Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja alipowasili kwa ajili ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid hiyo 30-9-2022, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja alipowasili kwa ajili ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid hiyo 30-9-2022, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 30-9-2022 na kujumuika na Wananchi katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo baada ya ufunguzi huo.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika kuitikia dua ikisomwa baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 30-9-2022 na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk,Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria ufungua wa Msjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kasakazini “A” Unguja leo 30-9-2022 na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamati ya Masjid Noorul Qadiriya Sheikh.Ali Suleiman Mawele.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 30-9-2022 na kujumuika na Wananchi katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo baada ya ufunguzi huo.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk,Hussein Ali Mwinyi akiagana na Viongozi wa Kamati ya Masjid Noorul Qadiriya Kandwi baada ya kumalizika kwa hafla ya Ufunguzi wa Msikiti huo na Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika 30-9-2022.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi na Mwenyekiti wa Kamati ya Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Sheikh.Ali Suleiman Mawele, baada ya ufunguzi wa Masjid hiyo na Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 30-9-2022 katika Msikiti huo.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi leo 30-9-2022. Mkoa wa Kaskazini Unguja.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Mwananchi wa Kijiji cha Kandwi Wilaya Kaskazini “A” Unguja Bi. Miza Baya Khamis, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya iliyofanyika leo 30-9-2022
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 30-9-2022, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
 • WANANCHI wa Kijiji cha Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia baada ya ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi na kujumuika katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo 30-9-2022.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Kandwi baada ya kumaliza kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Noorul Qadiriya Kandwi leo 30-9-2022, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.