State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amehudhuria mashindano ya 121 ya Fainali ya kuhifadhi Quran kwa Nchi za Afrika Mashariki uwanja wa Amani Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa meza kuu waliokaa na waliosimama Washiriki wa Fainali ya Mashindano ya 12 ya kuhifadhi Quran kwa Nchi za Afrika Mashariki yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Tuzo na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, na (kulia kwake) Rais Mstaaf wa Zanzibar.Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein iliotolewa na Taasisi ya Al-Manahil Irfan Islamic Center ilioandaa Fainali ya 12 ya mashindano hayo ya Kuhifadhi Quran kwa Nchi za Afrika Mashariki kwa kushirikiana na Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar, yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mshindi wa Kwanza wa Fainali ya Mashindano ya 12 ya Kuhifadhi Quran Tukufu Juzuu 30 kutoka Nchini Kenya Mwanafunzi Yunus Masoud kwaboko, yaliofanyika Zanzibar katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar (kushoto kwa Rais) Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaan Alhadi Mussa Salum.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Tuzo na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, na (kulia kwake) Rais Mstaaf wa Zanzibar. Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein iliotolewa na Taasisi ya Al-Manahil Irfan Islamic Center ilioandaa Fainali ya 12 ya mashindano hayo ya Kuhifadhi Quran kwa Nchi za Afrika Mashariki kwa kushirikiana na Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar, yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Fainali ya 12 ya Mashindano ya Kuhifadhi Quran kwa Nchi za Afrika Mashariki yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Fainali ya 12 ya Mashindano ya Kuhifadhi Quran kwa Nchi za Afrika Mashariki yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
  • MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza na Wananchi na Washiriki wa Mashindano ya Fainali ya 12 ya Kuhifadhi Quran kwa Nchi za Afrika Mashariki yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar