State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi   amejumuika na wananchi wa Kijiji cha Bwejuu Katika sala ya Ijumaa Masjid Jamaa

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Sheikh Khalid Ali Mfaume (kushoto kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jamaa Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja na 9kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi Rashid na Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Mhe. Rashid Makame Shamsi
  • WAZEE wa Kijiji cha Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akiwasalimia na kuzungumza na Wananchi wa Kijiji cha Bwejuu baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jamaa Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja
  • WANANCHI wa Kijiji cha Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja wakiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Sheikh.Khalid Ali Mfaume.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jamaa Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam wa Kijiji cha Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jamaa Bwejuu. Mkoa wa Kusini Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Dini na Serikali alipowasili katika viwanja vya Masjid Jamaa Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja kujumuika na Wananchi wa Bwejuu katika Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid hiyo leo 5/6/2021
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam wa Kijiji cha Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jamaa Bwejuu. Mkoa wa Kusini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia hutuba ya Sala ya Ijumaa ikisomwa na Khatibu Sheikh Mwinyi Khatibu iliofanyika kabla ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jamaa Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja