State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam Katika Maulidi ya Kuzaliwa Mtume Muhammad S.A.W.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziA lhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia ubani kuashiria kuaza kwa Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana usiku 18-10-2021 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman.
  • WANAFUNZI kutoka Madrassatul Noor Ul Huda ya Fuoni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakisoma Qswida ya kumsalia Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika jana usiku katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika kisimamo cha Qiyaam na kumsalia Mtume Muhammad SAW, wakati wa hafla ya Maulidi ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika jana usiku katika uwanja wa Maisara Suleiman na (kulia kwake) Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Zuhura Kassim Ali na (kushoto kwake) Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Sharifa Omar Khalfan na Mke wa Makamu wa Kwanza Mama Zainab Kombo Shaib.
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakijumuika katika hafla ya Maulidi ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika jana usiki 18-10-2021 katika viwanja vya Maisara Suleiman,Wilaya ya Mjini Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia ubani kuashiria kuaza kwa Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana usiku 18-10-2021 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia ubani kuashiria kuaza kwa Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana usiku 18-10-2021 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.