State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameufunguaMskiti wa Masjid Taqwa uliyopo Bambi Wilaya ya Kati Unguja.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia akiweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Masjid Taqwa Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe Rashid Hadidi Rashid na Sheikh Fesal msimamizi wa ujenzi wa Msikiti huo, ufunguzi huo umefanyika kabla ya Sala ya Ijumaa 28-5-2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Taqwa Bambi Wilaya ya Kati Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali (hayupo pichani) na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu Alhaj Balozi Seif Ali Iddi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria,Katiba na Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman na (kulia kwa Rais) Msimamizi wa Ujenzi wa Msikiti huo. Sheikh. Fesal na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi Rashid
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid Taqwa Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, hafla hiyo imefanyika 28-5-2021.
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wananchi wa Bambi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid Taqwa Bambi Wilaya ya Kati Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Taqwa Bambi Wilaya ya Kati Unguja, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman na Makamu wa Pili wa Rais Mstaaf Alhaj Balozi Seif Ali Iddi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuufungua rasmin Masjid Taqwa Bambi Wilaya ya Kati Unguja baada ya kukamilika ujenzi wake na (kushoto kwa Rais)Msimamizi wa ujenzi wa msikiti huo Sheikh Fesal na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja.Mhe Rashid Hadidi Rashid, ufunguzi huo umefanyika kabla ya Sala ya Ijumaa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuufungua rasmin Masjid Taqwa Bambi Wilaya ya Kati Unguja baada ya kukamilika ujenzi wake na (kushoto kwa Rais)Msimamizi wa ujenzi wa msikiti huo Sheikh Fesal na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja.Mhe Rashid Hadidi Rashid, ufunguzi huo umefanyika kabla ya Sala ya Ijumaa.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia akiweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Masjid Taqwa Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe Rashid Hadidi Rashid na Sheikh Fesal msimamizi wa ujenzi wa Msikiti huo, ufunguzi huo umefanyika kabla ya Sala ya Ijumaa 28-5-2021.