State House Blog

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK.HUSSEIN MWINYI AKABIDHI MSAADA WA FUTARI KWA WANANCHI WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI UNGUJA WA MAKUNDI MAALUM

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidha msaada wa futari na Tende Bwa.Hashim Mashaka Salim, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wa Makundi Maalum, iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 8-4-2023, na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.(kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidha msaada wa futari na Tende Bi.Hidaya Hana Mrikisisa, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wa Makundi Maalum, iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 8-4-2023, na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidha msaada wa futari na Tende Bi.Fauzia Rajab Shaban,baada ya kumalizika kwa hafla ya futari aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wa Makundi Maalum, iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 8-4-2023, na (kulia kwa Rais)Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe, Haroun Ali Suleiman,na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana