State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amejumuika na waumini wa Dini ya Kiislam katika Sala.

  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Sakleh Omar Kabi iliofanyika katika Masjid Jibri Mkunazini Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisoma na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jibri Mkunazini Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waumini wa Dini wakati akiondoka baada ya kumaliza kusali Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jibri Mkunazini Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jibri Mkunazini Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisoma na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jibri Mkunazini Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jibri Mkunazini Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa dini ya Kiislamu (hawapo pichani) katika Masjid Jibril Mkunazini Jijini Zanzibar leo mara baada ya Swala ya Ijumaa,mbapo pia aliwataka wananchi kundosha tofauti za kiitikadi ili kujiletea maendeleo ya Nchi yetu kwa ujumla
  • Waumini wa Dini ya Kiislamu na wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupom pichani) alipozungumza na Waumini hao leo mara baada ya Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa Masjid Jibril Mkunazini Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa dini ya Kiislamu alipojumuika nao leo katika Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa Masjid Jibril Mkunazini Jijini Zanzibar