State House Blog

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK.HUSSEINN MWINYI MGENI RASMIN FAINALI ZA TUZO ZA KIMATAIFA ZA QURAN TUKUFU UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE JIJINI DAR ES SALAAM

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa Kwanza wa Mashindano ya Fainali ya TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania, kutoka Nchini Yeman. Galal Hamdi Saeed,baada ya kuibuka mshindi wa Kwanza katika mashindano hayo ya Kimataifa ya Quran Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi TUZO ya Mshindi wa Kitaifa ya Quran Tukufu Tanzania Sheikh Suleiman Omar (Mwalimu Sule) kutoka Zanzibar, wakati wa Mashindano ya Fainali ya TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania, yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar sa Salaam leo 16-4-2023, na (kulia kwake) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Alhajj Dk.Abdulmajid Nsekela
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa Pili wa Mashindano ya Fainali ya TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania, kutoka Nchini Sweden Abubaker Sharif Abubaker ,baada ya kuibuka mshindi wa Pili katika mashindano hayo ya Kimataifa ya Quran Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa Tatu wa Mashindano ya Fainali ya TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania, kutoka Nchini Tanzania Abdul-Wahabu Daudi Biro,baada ya kuibuka mshindi wa Tatu katika mashindano hayo ya Kimataifa ya Quran Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Mshiriki wa Mashindano ya Fainali ya TUZO za Kimataifa za Quran Tukufi Tanzania, ni mshiriki mwenye umri mdogo wa miaka 10 kutoka Nchini Bangladesh MD Sadikur Rahman, baada ya kumkabidhi dola 500, zilizotolewa na Benki ya CRDB (kushoto ) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Alhajj Dk.Abdulmajid Nsekela, baada ya kumalizika kwa mashindano hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kuhifadhi Quran Tanzania Sheikh. Othman Kaporo, baada ya kumalizika kwa Mashindano ya Fainali ya TUZO za Kimataifa za Quran Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa Mashindano ya Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa Mashindano ya Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
  • MSHIRIKI wa Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania kutoka Nchini Bangladesh MD Sadikur Rahman akiwa na umri wa miaka 10, akishiriki katika mashandano hayo ya Kimataifa yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023, na kuzawadiwa Dola 500 na Benki ya CRDB kwa kuwa mshiriki mwenye umri mdogo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Mashidano ya Fainali ya TUZO za Kimataifa ya Quran TukufuTanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023, na (kushoto kwa Rais) Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh.Hamid Masoud Jongo.
  • WASHIRIKI wa Fainali ya Tuzo za Kimataifa za Mashindano ya Quran Tukufu Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati akihutubia baada ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa mashindano hayo yaliofanyika
  • MSHIRIKI wa Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania kutoka Zanzibar. Fahadi Haji Ali akisoma Quran wakati wa mashndano hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam