State House Blog

Rais wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Makatibu wakuu na Manaibu Katibu wakuu katika viwanja vya Ikulu.

 • BAADHI ya Wateule Makatibu Wakuu na Manaibi wakipitia hati ya Kiapo kabla ya kuaza zoezi la kuapishwa kuwa Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali za SMZ, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg. Mussa Haji Ali kuwa Katibu Mkuu Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akumuapisha Ndg. Seif Shaban Mwinyi kuwa Katibu Mkuu Afisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Hati ya kiapo Bi. Abeida Rashid Abdalla, kuwa Naibu Katibu Mkuu (Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto) Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, baada ya kumaliza kula kiapo
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Omar Dadi Shajak kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar,wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi. Suzan Peter Kunambi. kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magharibi "A" Unguja , hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
 • BAADHI ya Mawaziri na Viongozi wa CCM wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza baada ya kumaliza kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu, hafla iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar baada ya kumaliza kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wiki iliopita,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 25/1/2021
 • MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla, Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zuberi Ali Maulid, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) baada ya kumaliza kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu hafla iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar baada ya kumaliza kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wiki iliopita,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 25/1/2021
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar baada ya kumaliza kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wiki iliopita,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 25/1/2021
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar baada ya kumaliza kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wiki iliopita,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 25/1/2021
 • VIONGOZI wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar, wakifuatlia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar baada ya kumaliza kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali waliokaa na waliosimama nyuma Makatibu Wakuu na Manaibu katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar