State House Blog

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi Aamezungumza na Mwakilishi wa Unesco Tanzania

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwakilishi Mkaazi wa UNESCO Nchini Tanzania.Bw.Tirso Dos Santos alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 13/1/2021 na (kulia) Ofisa Utamaduni UNESCO Tanzania Bi. Nancy Lazaro Mwaisaka
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNESCO Nchini Tanzania Bw, Tirso Dos Santos. (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kingozi Mhendisi Zena Ahmed Said na (kulia) Ofisa Utamaduni wa UNESCO Tanzania Bi. Nancy Lazaro Mwaisaka
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UNESCO Nchini Tanzania. Bw.Tirso Dos Santos (kulia kwa Rais) wakiwa katika ukumbi wa Ikulu wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika 13/1/2021 na (kulia) Ofisa wa Utamaduni UNESCO Tanzania Bi. Nancy Lazaro Mwaisaka.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwakilishi Mkaazi wa UNESCO Nchini Tanzania.Bw.Tirso Dos Santos alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 13/1/2021 na (kulia) Ofisa Utamaduni UNESCO Tanzania Bi. Nancy Lazaro Mwaisaka.