State House Blog

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Namibia Nchini.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Namibia Nchini Tanzania Mhe.Lebbius Tangeni Tobias alipofika Ikulu jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akibadilishana mawazo na Mgeni wake Balozi wa Namibia Nchini Tanzania Mhe.Lebbius Tangeni Tobias baada ya mazungumzo yao aliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake Balozi wa Namibia Nchini Tanzania Mhe.Lebbius Tangeni Tobias wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar.