State House Blog

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozo wa India Nchini Tanzania.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika mazungumzo na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan wakati alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimsikiliza mgeni wake Balozi wa India nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika Ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar alipofika kujitambilisha.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika mazungumzo na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha leo akiwepo na Balozi Mdogo ayefanya kazi zake Zanzibar Mhe.Bhagwant Singh.