State House Blog

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mabalozi hivi karibuni.

  • Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani wakati walipofika kuonana na Mhe.Rais Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani, wakati walipofika kuonana na Mhe.Rais Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akibadilishana mawazo na baadhi ya Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiagana na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani.
  • Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiagana na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar