State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amelifungua Kongamano la Pili la Madaktari na wahudumu wa Afya lililofanyika leo ukumbi wa chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na wananchi wa Chaani Unguja katika sala ya Ijumaa iliyofanyika Msikiti Mweupe.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Wazee wa Baraza la Wazee wa CCM Kisiwani Pemba.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa uwanja wa Watoto Tibirinzi Chake Chake Pemba.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekabidhi Msaada wa Futari kwa Wananchi wenyemahitaji maalum Kisiwani Pemba.