State House Blog

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amejumuika na wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika matembezi na mazoezi ya viungo viwanja vya Muyuni C Unguja.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na wananchi wa Mombasa Unguja katika sala ya Ijumaa.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Balozi wa Switzerland Ikulu Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Balozi mpya wa China Nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameweka Jiwe la Msingi Mradi wa uhuishaji na uimarishaji wa Mfumo wa usambazaji wa maji Zanzibar.