State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi amesaini kitabu cha maombolezi Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi amesaini Kitabu cha maombelezi ya Kifo cha Hayati Dkt.John Pombe Maguful, aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, alipofika Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Kisiwandui Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesaini Kitabu cha maombolezi ya Kifo cha Hayati Dkt.John Pombe Magufuli, alipofika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar 24-3-2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Kisiwandu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kusaini Kitabu cha maombolezi ya kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi amesaini Kitabu cha maombelezi ya Kifo cha Hayati Dkt.John Pombe Maguful, aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,katika Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Kisiwandui Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar, baada ya kumaliza kusaini Kitabu cha maombolezi ya Kifo cha Hayati Dkt.John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania