State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akamehudhuria Mahafali ya 40 ya Chuo Kikuu Huria Tanzania yaliofanyika Uwanja wa Mao Zedung.

  • WAHITIMU wa Shahada ya Uzamili ya Usimamizi wa Miradi (Master of Project Management) wakitunukiwa Shahada yao na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania.Mhe. Mizengo Peter Pinda.(hayupo pichani) wakati wa mahafali ya 40 ya Chuo hicho yaliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja.
  • WAHITIMU WA Shahada ya Udaktari wa Falsafa Chuo Kikuu Huria Tanzania wakishangilia baada ya kutunukiwa Shahada yao na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania Mhe Mizengo Peter Pinda.(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika uwanja wa Mao Zedung Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja.
  • WAHITIMU WA Shahada ya Udaktari wa Falsafa Chuo Kikuu Huria Tanzania wakishangilia baada ya kutunukiwa Shahada yao na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania Mhe Mizengo Peter Pinda.(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika uwanja wa Mao Zedung Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja.
  • MKUU wa Chuo Kikuu Huria Tanzania Mhe Mizengo Peter Pinda akimtunuku Shahada ya Udaktari wa Falsafa mhitimu Bakari Ali Mohammed,wakati wa mahafali ya 40 ya Chuo Kikuu Huria Tanzania yaliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja.
  • MKUU wa Chuo Kikuu Huria Tanzania Mhe Mizengo Peter Pinda akimtunuku Shahada ya Udaktari wa Falsafa mhitimu Bakari Ali Mohammed,wakati wa mahafali ya 40 ya Chuo Kikuu Huria Tanzania yaliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja 25-11-2021
  • MKUU wa Chuo Kikuu Huria Tanzania Mhe.Mizengo Peter Pindaakiwatunuku Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Fasafa (Doctor of Philosophy) wakati wa mahafali ya 40 ya Chuo Kikuu Huria Tanzania yaliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Jijini Zanzibar, na (kulia kwake) Makamu Mkuu wa Chuo Huria Prof.Elifas Bisanda.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 40 ya Chuo Kikuu Huria Tanzania yaliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Jijini Zanzibar 25-11-2021
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Maandamano ya Mahafali ya 40 ya Chuo Kikuu Huria Tanzania, wakati wa hafla ya hayo yaliofanyika katika uwanja wa Mao Zedung Jijini Zanzibar 25-11-2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 40 ya Chuo Kikuu Huria Tanzania yaliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Jijini Zanzibar.