State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Mkutano wa wadau wa kujadili masuala mahsusi ya Zanzibar yanayohusu Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022.

 • Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (haypo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022.
 • WAGENI waalikwa katika Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, wakifuatilia mkutano huo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022.
 • MSHIRIKI wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar Sheikh.Saleh Mohammed kutoka Kamati ya Amani na Maridhiano Zanzibar,akichangia Mada inayozungumzia Historia ya Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar, iliyowasilisha katika mkutano huo na Prof Mohammed Makame Haji, mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022.
 • MSHIRIKI wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar Bi. Pavu Abdalla kutoka Chama cha ACT- Wazalendo akichangia Mada inayozungumzia Historia ya Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar, iliyowasilisha katika mkutano huo na Prof Mohammed Makame Haji, mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022,
 • MSAJILI wa Vyama vya Siasa Tanzania Mhe.Jaji Francis S.K.Mutungi akizungumza na kutowa maudhui ya Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja Jijini Zanzibar 4-10-2022, uliowashirikisha Wadau wa Vyama vya Siasa Zanzibar na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
 • Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (haypo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022.
 • VIONGOZI wa Vyama vya Siasa mbalimbali na Serikali wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar uliofanyika 4-10-2022.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 4-10-2022.
 • MWENYEKITI wa Baraza la Vyama vya Siasa Mhe. Juma Ali Khatib akizungumza na kutowa Salamu za Vyama vya Siasa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanahusu Demokrasia ya Vya Vingi vya Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 4-10-2022 na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
 • VIONGOZI wa Vyama vya Siasa mbalimbali na Serikali wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar uliofanyika 4-10-2022.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, kwa ajili ya Ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa hoteli hiyo leo 4-10-2022.