State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekabidhi Kombe la Mapinduzi kwa Mshindi wa michuano hiyo uwanja wa Amaan Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha shukrani Afisa Mkuu Rasilimali Watu Benki wa Benki ya NMB Bw.Emmanuel Akonay, kwa kudhamini Michuano ya Kombe la Mapinduzi, kwa mchango wao kufanikisha michuano hiyo, hafla hiyo iliyofanyika Uwanja wa Amaan jana usiku 13-1-2022, wakati wa mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi Cup kati ya Simba na Azam Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha shukrani Mwakilishi wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) kwa Udhamini wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi,kwa mchango wao kufanikisha michuano hiyo, hafla hiyo iliyofanyika Uwanja wa Amaan jana usiku 13-1-2022, wakati wa mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi kati ya Simba na Azam Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi mfano wa hundi ya shuilingi milioni Kumi na Tano Nahodha wa Timu ya Azam Aggrey Morris kwa kuibuka msindi wa Pili wa Michuano ya Mapinduzi Cup 2022 na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman na Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita.
  • /RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Mapinduzi Cup Nahodha wa Timu ya Simba John Bocco, kwa kuibunga mshindi wa michuano huo kwa kuifunga Timu ya Azam bao 1-0, katika mchezo wa fainali uliofanyika Uwanja wa Amaan jana usiku,13-1-2022.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kulia) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akimkabidhi zawadi Mchezaji Bora wa Mapinduzi Cup ZBC Watoto, kutoka Timu ya Wilaya ya Wete Pemba Abdalla Ali Salim, hafla ilioyofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar baada ya kumalizika kwa mchezo wa Fainali ya Mapinduzi Cup.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Kikosi cha Timu ya Simba kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi, mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika jukwaa kuu baada ya kusalimiana na Wachezaji wa Timu ya Simba na Azam, kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan jana usiku.13-1-2022. Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha shukrani Mdhamani wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi Mwenyekiti wa Kampuni ya ZAT Bw. Mohammed Raza Daramsi, kwa mchango wake kufanikisha michuano hiyo, hafla hiyo iliyofanyika Uwanja wa Amaan jana usiku 13-1-2022, wakati wa mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi Cup kati ya Simba na Azam Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Kikosi cha Timu ya Azam kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi, mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.