State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Askofu wa Kanisa la Anglikana Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Baba Askofu wa Kanisa la Anglikana Jijini Zanzibar Askofu Michael Hafidh baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibaer na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Baba Askofu wa Kanisa la Anglikana Mkunazini Jijini Zanzibar Askofu Michael Hafidh, alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi huo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Baba Askofu wa Kanisa la Anglikana Mkunazini Jijini Zanzibar Askofu Michael Hafidh (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake Ndg.Edwin Mkwaya na Ndg.Luis Majaliwa, walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu