State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kuzungumza na Makamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Ikulu Zanzibar leo.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Mhe.Anne Makinda, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa makabrasha ya Sensa na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Mhe.Anne Makinda baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Balozi Mohamed Hamza na (kulia kwa Rais) Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Mhe.Anne Makinda walipofika Ikulu Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo yaliofanyika leo 12/8/2021, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Mhe.Anne Makinda, baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo.