State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Rais Mstaaf wa Nigeria Mhe.Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu Wa Ethiopia.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn, baada ya kutowa maelezo ya kitabu chao cha “Asian Aspiration” mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn, baada ya kutowa maelezo ya kitabu chao cha “Asian Aspiration” mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • VIONGOZI wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakimsikiliza Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo akitwa maelezo ya kitabu chake cha cha “Asian Aspiration” wakati wa mazungumzo yake na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwinyi,mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • WAZIRI Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn akizungumza na kutowa maelezo ya kitabu cha “Asian Aspiration”, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • VIONGOZI wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakimsikiliza Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo akitwa maelezo ya kitabu chake cha cha “Asian Aspiration” wakati wa mazungumzo yake na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwinyi,mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemariam Desalegn, kabla ya kuza kwa mazungumzo na kutowa maelezo ya Kitabu cha “Asian Aspiration” wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo akizungumza na kutowa maelezo ya kitabu chake cha cha “Asian Aspiration” kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kabla ya kufanyika uzinduzi huo wa kitabu hicho katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemariam Desalegn, kabla ya kuza kwa mazungumzo na kutowa maelezo ya Kitabu cha “Asian Aspiration” wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kutowa maelezo ya Kitabu chake cha “Asian Aspiration” kabla ya kuzinduliwa uliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar na (kulia kwake) Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn, wakiwa katika ukumbi wa Ikulu, kabla ya kuaza mazungumzo.