State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Global Water Partnership Southern Africa Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu Mtendaji wa Taasisi ya “Global Water Partnership Southern Africa” Bw.Alex Simalabwi, alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya “Global Water Partnership Southern Africa”walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, ukiongozwa na Katibu Mtendaji wa Taasisi hiyo Kanda ya Afrika Bw. Alex Simalabwi(kulia kwa Rais).
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa picha ya ramani ya Bara la Afrika na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya “Global Water Partnership Southern Africa”Bw.Alex Simalabwi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya “Global Water Partnership Southern Africa”walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, ukiongozwa na Katibu Mtendaji wa Taasisi hiyo Kanda ya Afrika Bw. Alex Simalabwi.(kulia kwa Rais)
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Ujumbe wa Taasisi ya “Global Water Partneship Southern Africa” baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar 9-9-2021