State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Ujumbe wa Wawekezaji wa Kampuni ya Sukari Kilombero Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji wa Kampuni ya Sukari Kilombero ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kampuni hiyo Balozi Ami Mpungwe na Bw.Gavid Galgeleish, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Kampuni ya Sukari Kilombero. Balozi Ami Mpungwe (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake wa Wawekezaji wa Kampuni hiyo Bw.Gavid Galgeleish, walipofika ikulu kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na mgeni wake Mwenyekiti wa Kampuni ya Sukari Kilombero Balozi Ami Mpungwe, baada ya kumaliza mazungumzo na Ujumbe wake wa Wawekezaji wa Kampuni ya Sukari Kilombero, yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 1-12-2021.