State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Uongozi wa Taasisi ya Mkapa Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa ukiongozwa na Mwenyekiti wa Taasisi hiyo (kulia kwa Rais)Dkt.Adeline Kimambo, Dkt.Ellen Mkondya Senkoro na Dkt. Ali Uki,walipofika ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu 26-11-2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Dkt.Adeline Kimambo.(kulia kwa Rais)akiwa na ujumbe wake CEO wa Taasisi Dkt. Ellen Mkondya Senkoro na Dkt. Ali Uki,walipofia Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa ukiongozwa na Mwenyekiti wa Taasisi hiyo (kulia kwa Rais)Dkt.Adeline Kimambo, Dkt.Ellen Mkondya Senkoro na Dkt. Ali Uki,walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu 26-11-2021.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Ujumbe wa Taasisi ya Benjamin Willian Mkapa, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Dkt. Adeline Kimambo, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.