State House Blog

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA IRAN IKULU ZANZIBAR.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislam ya Watu wa Iran.Mhe Hossein Amir Abdollahian, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalum ya Jahazi mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislam ya Watu wa Iran Mhe. Hossein Amir Abdollahian,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislam ya Watu wa Iran Mhe. Hossein Amir Abdollahian.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 26-8-2022.