State House Blog

Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amepokea mkono wa pole kwa wasanii wa Wasafi Ikulu Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Wasafi Nasibu Abdul Juma almaarufu Diamond Platinumz na ujumbe wake Ikulu Mnazi Mmoja tarehe 20 Machi 2024.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Wasafi Nasibu Abdul Juma (Diamond Platinumz) baada ya kumaliza kutowa mkono wa pole kufuatia msiba wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-3-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Wasafi ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Wasafi Nasibu Abdul Juma (Diamond Platinumz) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kutowa mkono wa Pole kufuatia msiba wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Wasafi ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Wasafi Nasibu Abdul Juma (Diamond Platinumz) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kutowa mkono wa Pole kufuatia msiba wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Wasafi ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Wasafi Nasibu Abdul Juma (Diamond Platinumz) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kutowa mkono wa Pole kufuatia msiba wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amejumuika na wanavyuoni na Mashekh katika kisomo cha Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi Msikiti Ngamia Welezo

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa shukrani kwa Viongozi wa Serikali,Dini na Wananchi kwa ushirikiano katika msiba wa Baba yake Mzazi Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, baada ya kumalizika kwa kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea iliyoandaliwa na Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania, katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja 15-3-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa picha maalum ikimuonesha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi alipofika hospitali kumuangalia Hayati Sheikh Muhammad Nassor Abdallah alipokua amelezwa Hospitali akipata matibabu, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na Kisomo cha Dua cha kumuombea Rais Mstaafu wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Masikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja l15-3-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh, Wanavyuoni, Viongozi wa Serikali na Wananchi katika Kisomo na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyoandaliwa na Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania, iliyofanyika katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo 15-3-2024, na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali na (kulia kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria,Katiba,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh, Wanavyuoni, Viongozi wa Serikali na Wananchi katika Kisomo na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyoandaliwa na Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania, iliyofanyika katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo 15-3-2024, na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Wanavyuoni, Masheikh na Wananchi katika Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyoandaliwa na Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania, iliyofanyika katika Masikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo 15-3-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mlezi wa Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania Sheikh.Said Othman, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na Kisomo cha Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo 15-3-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh, Wanavyuoni na Wananchi katika kuitikia dua baada ya kumalizika kwa Kisomo na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika baada ya Ibada ya Sala ya Ijumaa katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi "A"Unguja, ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali na (kulia kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria, Katiba, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman na Mlezi wa Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania Sheikh Said Othman
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh, Wanavyuoni na Wananchi katika kuitikia dua baada ya kumalizika kwa Kisomo na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika baada ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi "A"Unguja , ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amejumuika na Viongozi na Wananchi katika Maziko ya Hayati Rais Mstaafu wa Tanzakia awamu ya Pili Alhajj Ali Hassan Mwinyi Mangapwani Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wananchi mbalimbali baada ya kumalizika kwa Sala ya Jeneza ya Hayati Rais Mstaafu wa Tanzania Awamu ya Pili Alhajj Ali Hassan Mwinyi , iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar leo 2-3-2024.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wananchi mbalimbali baada ya kumalizika kwa Sala ya Jeneza ya Hayati Rais Mstaafu wa Tanzania Awamu ya Pili Alhajj Ali Hassan Mwinyi , iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar leo 2-3-2024.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali na Wananchi katika Sala ya jeneza ya kumsalia Hayati Rais Mstaafu wa Tanzania Awamu ya Pili Alhajj Ali Hassan Mwinyi , iliyoongozwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi
  • VIONGOZI Wastaafu wakitowa heshima za mwisho kwa Hayati Rais Mstaafu wa Tanzania Awamu ya Pili Alhajj Ali Hassan Mwinyi , wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar leo 2-3-2024
  • VIONGOZI wa Dini Zanzibar wakiwa wamebeba jeneza likiwa na mwili wa Hayati Rais Mstaafu wa Tanzania Awamu ya Pili Alhajj Ali Hassan Mwinyi, wakiwa katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar kwa ajili ya Sala ya Jeneza iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 2-3-2024
  • WAJANE wa Hayati Rais Mstaafu wa Tanzania Awamu ya Pili Alhajj Ali Hassan Mwinyi Mama Khadija Mwinyi na (kulia ) Mama Siti Mwinyi wakiwasili katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar kwa ajili ya kuagwa na kutowa heshima za mwisho kwa Hayati Rais Mstaafu wa Tanzania Awamu ya Pili Alhajj Ali Hassan, hafla hiyo iliyofanyika leo 2-3-2024.
  • RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi . Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi wakitowa heshima za mwisho kwa Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Tanzania, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya New Amaan Complex Amaan Zanzibar leo 2-3-2024
  • GARI Maalum la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) likiwa limebeba Mwili wa Hayati Rais Mstaafu wa Tanzania Awamu ya Pili Alhajj Ali Hassan Mwinyi likipita katika barabara ya Amani kuelekea katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar kwa ajili ya kutowa heshima za mwisho kwa Viongozi wa Kitaifa na Wananchi wa Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Watendaji Wakuu wa Mabenki ya Tanzania

  • WATENDAJI Wakuu wa Mabenki ya Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-2-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar na Watendaji Wakuu wa Mabenki ya Tanzania, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-2-2024, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar na Watendaji Wakuu wa Mabenki ya Tanzania, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-2-2024, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum

Rais wa Zanzibar Mhe Hussein Mwinyi amewatembelea Wazee mbalimbali kwa ajili ya kuwajulia hali zao.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Watoto wa Mtaa wa Jangombe Wilaya ya Mjini Unguja leo 23-2-2024, baada ya kumaliza kumzungumza na Mzee Ramadhan Nzori
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali yake Msanii Maarufu wa Zanzibar Bi.Mwapombe Hiyari, alipofika nyumbani kwake Chuini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 23-2-2024, ikiwa ni utaratibu wake kuwajulia hali Wazee mbalimbali Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Familia ya Mzee Daudi Suleiman Ali, alipofika nyumbani kwake Fuoni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kwa ajili ya kumsalimia na kumjulia hali yake leo 23-2-2024.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Mzee Ramadhan Nzori , aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Jangombe Zanzibar, alipofika nyumbani kwake Jangombe Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya mazungumzo na kumjulia hali yake leo 23-2-2024