State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mkurugenzi Mkuu wa ZAECA leo tarehe   8-9-2022 Ikulu mjini Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar baada ya kumuapisha Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) Ndg.Ali Abdalla Ali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8-9-2022.

  • MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) Ndg. Ali Abdalla Ali,akiwa na Viongozi mbalimbali katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar akifuatila mazungumzo ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapisha iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 8-9-2022.
  • WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya kumaliza kumuapisha Mkurugenzi Mkuu wa (ZAECA) hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8-9-2022.