State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki matembezi ya kuhamasisha upimaji wa Moyo.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt.Peter Kisenge, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Hassan Khamis Hafidh, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Ufungaji wa Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika 23-27 Januari 2023,katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar.28-1-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazoezi ya viungo ya pamoja baada ya kumaliza Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” yaliomalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe, Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akishiriki katika mazoezi ya viungo yakiongozwa na Kocha Mkuu wa Mazoezi ya Viungo Zoni D. Ndg. Ahmad Rajab, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo ”Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” yaliyoazia katika viwanja vya Maisara Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja kwa mazoezi ya pamoja ya viungo, na(kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt.Peter Kisenge
  • WASHIRIKI wa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika uwanja wa Amaan baada ya kumalizika kwa matembezi hayo yaliyofanyika leo 28-1-2023, yaliyoazia katika viwanja vya Maisara Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja kwa mazoezi ya pamoja ya viungo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar kuazia 23-27, Januari 2023, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh na(kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana.
  • WAZIRI wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza na Wananchi, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na ufungaji wa Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar, iliyoaza 23-27,Januari 2023, matembezi hayo yaliyomalizikia katika uwanja wa Amaan Unguja 28-1-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazoezi ya viungo baada ya kumaliza Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Moyo Wako” yaliomalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe, Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
  • WASHIRIKI wa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika uwanja wa Amaan baada ya kumalizika kwa matembezi hayo yaliyofanyika leo 28-1-2023, yaliyoazia katika viwanja vya Maisara Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja kwa mazoezi ya pamoja ya viungo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa mitaa ya muembemimba akiwa katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar kuazia 23 - 27, Januari 2023,matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt.Peter Kisenge, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Hassan Khamis Hafidh, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Ufungaji wa Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika 23-27 Januari 2023 , katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar.28-1-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar, kuazia 23-27, Januari 2023, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,na(kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana
  • WASHIRIKI wa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” wakiwa katika mazoezi ya pamoja ya viungo baada ya kumaliza kwa matembezi hayo katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023 Jijini Zanzibar na kufungwa kwa Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Zanzibar 23-27, Januari 2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akishiriki katika mazoezi ya viungo yakiongozwa na Kocha Mkuu wa Mazoezi ya Viungo Zoni D. Ndg. Ahmad Rajab, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo ”Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” yaliyoazia katika viwanja vya Maisara Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja kwa mazoezi ya pamoja ya viungo, na(kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt.Peter Kisenge
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa mitaa ya muembemimba akiwa katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar kuazia 23 - 27, Januari 2023, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazoezi ya viungo ya pamoja baada ya kumaliza Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” yaliomalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe, Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa mitaa ya muembemimba akiwa katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar kuazia 23 - 27, Januari 2023, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa mitaa ya muembemimba akiwa katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar kuazia 23 - 27, Januari 2023, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja kuazia 23-27, Januari 2023, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan .K.Hafidh na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar kuazia 23-27, Januari 2023, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh na(kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt.Peter Kisenge, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Hassan Khamis Hafidh, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Ufungaji wa Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika 23-27 Januari 2023, katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar.28-1-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo, iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar 23-27,Januri 2023 matembezi hayo yaliyomalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja kwa mazoezi ya pamoja ya viungo 28-1-2023
  • MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza baada ya kumaliza kwa Matembembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na ufungungaji wa Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja iliyoaza 23-27,Januari 2023, ufungaji huo uliyofanyika katika uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar 28-1-2023