Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Makatibu Wakuu waliowateua hivi karibu.
24 Aug 2024
14
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Dkt.Mngereza Mzee Miraji, baada ya kumaliza kumuapisha kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-8-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Mngereza Mzee Miraji kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar, hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-8-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mariam Juma Abdalla Saadalla kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais,hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika leo 24-8-2024 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
BAADHI ya Wageni waalikwa katika hafla ya uapisho wa Makatibu Wakuu walioteuliwa hivi karibuni, wakifuatilia hafla hiyo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwaapisha katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-8-2024
MAKATIBU Wakuu wateule walioteuliwa hivi karibuni wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar wakisubiri kuapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika leo 24-8-2024 Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Dkt.Mngereza Mzee Miraji, baada ya kumaliza kumuapisha kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-8-2024