State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewasili Kisiwani Pemba kwa ziara ya siku mbili

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi mbalimbali walipowasili Uwanja wa Ndege wa Chake chake Pemba,akiwa Kisiwani Pemba kwa ziara ya Siku mbili
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Matar Zahro Matar, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba akiwa katika ziara ya Siku mbili Kisiwani Pemba na (kulia kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Salama Mbarouk Khatib.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi na Wananchi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba kwa ajili ya ziuara ya Siku mbili Kisiwani Pemba.