State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na kuwaaga Madaktari Bingwa wa Kichina waliomaliza muda wao Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga Madaktari Bingwa benchi ya 30 kutoka Nchini China waliomaliza muda wao wa mwaka mmoja Zanzibar kutoka huduma za Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja na ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, hafla hiyo ya kuwaaga imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, wa kwanza Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyika kazi zake Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng,wakati wa hafla ya kuwaaga Madaktari Bingwa wa Kichina waliomaliza muda wao wa mwaka mmoja Zanzibar kutoka huduma ya Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja na ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Visiwa vya Unguja na Pemba Kiongozi wa Madaktari Bingwa wa Benchi la 30 kutoka China Dr.Wang Yiming,baada kumaliza muda wao wa mwaka mmkoja kutokwa huduma za Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja Zanzibar na ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.