State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia kanda ya Afrika.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Dk.Taufila Nyamadizabo, alipowasili katika ukumbi wa mkutano Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 10-6-2021
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Dk. Taufila Nyamadizabo, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Dk.Taufila Nyamadizabo, alipowasili katika ukumbi wa mkutano Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 10-6-2021
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji Benki ya Dunia Kanda ya Afrika.Dk.Taufila Nyamadizabo, alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika leo 10-6-2021 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.