State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Nchini India Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akibadilisha mawazo na Wafanyabiasha mbalimbali kutoka Nchini India walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 17-9-2024 kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wafanyabiashara mbalimbali kutoka Nchini India, ukiongozwa na Rajiv Desai (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 17-9-2024

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na nakala ya Jarida la BlitzIndia baada ya kulizindua leo 17-9-2024, litakaloitangaza kimataifa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla katika sekta ya Utamaduni, Uchumi na Utalii na (kulia kwa Rais) Kiongozi wa Ujumbe huo Rajiv Desai na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti na Mhariri Mtendaji wa Jarida hilo Deepak Dwivedi, baada ya kumaliza mazungumzo na Ujumbe wa Wafanyabishara mbalimbali kutoka Nchini India yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wafanyabiashara mbalimbali kutoka Nchini India, ukiongozwa na Rajiv Desai (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 17-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wafanyabiashara mbalimbali kutoka Nchini India, ukiongozwa na Rajiv Desai (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 17-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo wake Ujumbe wa Wafanyabiashara mbalimbali kutoka Nchini India ukiongozwa na Kiongozi wa Ujumbe huo Rajav Desai (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 17-9-2024