State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima ukanda wa Mashariki na kusini mwa Afrika.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, uliowashirikisha Wadau wa Bima,uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 29-8-2022.
 • MWENYEKITI wa Bodi ya Umoja wa Makampuni ya Bima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika Bi.Patty Karuaihe Martin akizungumza na kutowa maelezo ya Umoja huo wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika uliyofanyika leo 29-8-2022,katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Unguja Jijini Zanzibar, na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, uliowashirikisha Wadau wa Bima, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 29-8-2022.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, uliowashirikisha Wadau wa Bima, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 29-8-2022.
 • CEO wa Kampuni ya Masawara Group. Bw.Shingai Mutasa wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 29-8-2022, uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
 • WASHIRIKI wa Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 29-8-2022.

 • MWENYEKITI wa Bodi ya Umoja wa Makampuni ya Bima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika Bi.Patty Karuaihe Martin akizungumza na kutowa maelezo ya Umoja huo wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika uliyofanyika leo 29-8-2022, katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Unguja Jijini Zanzibar, na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi baada ya kuwasili katika viwanja vya Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 29-8-2022, kwa ajili ya Ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Bima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Kamishna wa Bima Tanzania Dkt. Baghayo A.Saqware.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mkutano wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni , kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, uliyofanyika 29-8-2022 katika ukumbi wa hoteli hiyo na (kushoto kwa Rais) Kamishna wa Bima Tanzania Dkt.Baghayo Abdallah Saqware.