State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Mkutano wa Jumuiya ya Wajane Afrika Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya Heshima na Rais wa Jumuiya ya Wajane Afrika Bi. Hope Nwakwesi, baada ya kuufungua Mkutano wa Kimataifa wa Jumuiya ya Wajane Afrika “The African Widows Summit –Zanzibar 2024” uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 20-6-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na kuagana na Mama Fatma Karume, baada ya kumalizika kwa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Jumuiya ya Wajane Afrika, unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 20-6-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Kimataifa wa Jumuiya ya Wajane Afrika “The African Widows Summit –Zanzibar 2024” unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 20-6-2024
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Kimataifa wa Jumuiya ya Wajane Afrika “The African Widows Summit Zanzibar 2024” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 20-6-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Kimataifa wa Jumuiya ya Wajane Afrika “The African Widows Summit –Zanzibar 2024” unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 20-6-2024
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Kimataifa wa Jumuiya ya Wajane Afrika “The African Widows Summit Zanzibar 2024” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 20-6-2024
  • WASANII wa Kikundi cha Chuo cha Mafunzo Zanzibar wakitowa burudani ya ngoma ya Kibati wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Jumuiya ya Wajane Afrika “The African Widows Summit –Zanzibar 2024” unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 20-6-2024
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Kimataifa wa Jumuiya ya Wajane Afrika “The African Widows Summit Zanzibar 2024” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 20-6-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Wake wa Viongozi na Viongozi wa Jumuiya ya Wajane Afrika, wakimsikiliza Rais wa Jumuiya ya Wajane Zanzibar Bi. Tabia Makame, akizungumza katika mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamakin Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 20-6-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya Heshima na Rais wa Jumuiya ya Wajane Afrika Bi. Hope Nwakwesi, baada ya kuufungua Mkutano wa Kimataifa wa Jumuiya ya Wajane Afrika “The African Widows Summit –Zanzibar 2024” uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 20-6-2024