State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amekutana na kuzungumza na Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani Dkt.Jewel Bronaugh Ikulu Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani Dkt.Jewel Hairston Bronaugh alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 4-11-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani Dkt.Jewel Hairston Bronauagh alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 4-11-2022.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalum ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani Dkt.Jewel Hairston Bronaugh, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-11-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani Dkt.Jewel Hairston Bronauagh alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 4-11-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani Dkt.Jewel Hairston Bronaugh alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 4-11-2022.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani Dkt.Jewel Hairston Bronaugh, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-11-2022.